Kitendawili

Om sangen

 

Tekst

Solist: Kitendawili tega

Kor: Mmhh

Solist: Kitendawili tega

Kor: Nyoka shana tambaa, lukumba lukumba ( x2)

 

Solist: Mfano kwa watu wengi

Kor: Mmhh

Solist: Mchana ni wa aminifu

Kor: Mmhh

Solist: Ikifika usiku

Kor: Mmmhh

Solist: Wana ruka ruka

Kor: Mmm hmm x3

Solist: Wana ruka Goma, wana ruka Kalemie,.

Kor: wana fika apa Uvira

 

Solist: Mama (kaka, dada, baba etc.)

Kor: Acha ulozi wako, Hmm, waku geuza watu mbuzi ao nguruwe

Solist: Unaa

Kor: Una korokocha mifupa ya watu, Haaam haamm, Sawa nyama, ya pori

 

Lydfil

Kitendawili med Irene;